# Mwanakondoo "mwanakondoo" ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kushiria kuwa ni Kristo. # wazee ishirini na wanne wazee wanne** -"wazee 24" # wakainama hadi nchi Kulala chini kwa kutazama ardhi. # Kila mmoja Maana zinazowezekana ni 1)"kila mzee ni kiumbe hai" au 2)"kila mzee" # bakuli ya dhahabu iliyojaa uvumba ambayo ni maombi ya waamini Uvumba hapa ni alama ya maombi ya waumini wa Mungu.