sw_tn/act/21/05.md

17 lines
372 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia waumini huko Tiro
# Wakati tulipokuwa tumekaa siku kadhaa
Inaonyesha kuwa kuna muda waliokaa katika mji huo.
# tukapiga magoti pwani, tukaomba
likuwa desturi ya kawaida kupiga magoti wakati wa kuomba. Hii ilikuwa ni alama ya kuonyesha unyenyekevu mbele za Mungu.
# tukaagana kila mmoja
"Alisema 'kwaheri' kwa kila mmoja