# Taarifa ya jumla Fungu hili linazungumzia waumini huko Tiro # Wakati tulipokuwa tumekaa siku kadhaa Inaonyesha kuwa kuna muda waliokaa katika mji huo. # tukapiga magoti pwani, tukaomba likuwa desturi ya kawaida kupiga magoti wakati wa kuomba. Hii ilikuwa ni alama ya kuonyesha unyenyekevu mbele za Mungu. # tukaagana kila mmoja "Alisema 'kwaheri' kwa kila mmoja