sw_tn/act/18/09.md

29 lines
782 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# usiogope, lakini ongea na usinyamaze
Bwana anatoa amri moja katika njia mbili tofauti -"usiwe na hofu" na "Sema na wala usinyamaze"'-kufanya maneno yake kuwa na nguvu. "N lazima kuacha kuwa na hofu, na badala yake endelea kusema na usikae kimya.'
# Ongea na usinyamaze
Mungu anamuamuru Paulo kwa nguvu aongee. " Hakika ni lazima uongee"
# usinyamaze
"usinyamaze kuongelea kuhusu injili"
# kwani Mimi niko pamoja nawe
"Mimi" inamaanisha Bwana, ambaye anaongea na Paulo.
# Niko nawe
"nawe" inamaanisha Paulo , ambaye Bwana anaongea naye kwa njia ya maono.
# nina watu wengi katika mji huu
"Kuna watu wengi katika mji huu walioweka imani yao kwangu"
# Paulo akakaa huko...,akifundisha neno la Mungu miongoni mwao.
Hii ni kauli ya kumalizia kwa sehemu hii ya hadithi.