# usiogope, lakini ongea na usinyamaze Bwana anatoa amri moja katika njia mbili tofauti -"usiwe na hofu" na "Sema na wala usinyamaze"'-kufanya maneno yake kuwa na nguvu. "N lazima kuacha kuwa na hofu, na badala yake endelea kusema na usikae kimya.' # Ongea na usinyamaze Mungu anamuamuru Paulo kwa nguvu aongee. " Hakika ni lazima uongee" # usinyamaze "usinyamaze kuongelea kuhusu injili" # kwani Mimi niko pamoja nawe "Mimi" inamaanisha Bwana, ambaye anaongea na Paulo. # Niko nawe "nawe" inamaanisha Paulo , ambaye Bwana anaongea naye kwa njia ya maono. # nina watu wengi katika mji huu "Kuna watu wengi katika mji huu walioweka imani yao kwangu" # Paulo akakaa huko...,akifundisha neno la Mungu miongoni mwao. Hii ni kauli ya kumalizia kwa sehemu hii ya hadithi.