sw_tn/act/13/42.md

29 lines
665 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Paulo na Barnaba walipoondoka
"Wakati Paulo na Barnaba walipokuwa wakiondoka"
# wakawaomba waongee
"Wakawaomba"
# Maneno yale yale
"Maneno ambayo Paulo alikuwa ameyatamka kwenye hotuba yake"
# Wakati mkutano wa sinagogi ulipokwisha
Inaweza kuwa; 1) Wakati Paulo na Barnaba walipoondoka mstari 42: au 2) Paulo na Barinaba waliopouacha mkutano kabla ya kuhitimisha.
# Wongofu
"Hawa walikuwa si Wayahudi ambao hawakufuata utamaduni wa Kiyahudi"
# waliongea nao na waliwahimiza
"Na Paulo na Barnaba walinena nao hao na kuwasihi"
# waendelee katika neema ya Mungu.
"Waendelee kumtumaini Mungu ambaye husamehe dhambi kwasababu ya kile Yesu alifanya kwao"