# Paulo na Barnaba walipoondoka "Wakati Paulo na Barnaba walipokuwa wakiondoka" # wakawaomba waongee "Wakawaomba" # Maneno yale yale "Maneno ambayo Paulo alikuwa ameyatamka kwenye hotuba yake" # Wakati mkutano wa sinagogi ulipokwisha Inaweza kuwa; 1) Wakati Paulo na Barnaba walipoondoka mstari 42: au 2) Paulo na Barinaba waliopouacha mkutano kabla ya kuhitimisha. # Wongofu "Hawa walikuwa si Wayahudi ambao hawakufuata utamaduni wa Kiyahudi" # waliongea nao na waliwahimiza "Na Paulo na Barnaba walinena nao hao na kuwasihi" # waendelee katika neema ya Mungu. "Waendelee kumtumaini Mungu ambaye husamehe dhambi kwasababu ya kile Yesu alifanya kwao"