sw_tn/act/11/29.md

21 lines
413 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Sura hii wanaotajwa ni waumini wa kanisa huko Antiokia
# Kwa hiyo
Neno linaloelezea kuwa jambo lililotokea kwasababu ya kitu kingine pia
# kila mmoja alivyo fanikiwa,
atu matajiri walituma misaada zaidi, na wale masikini walituma kwa kiasi chao.
# kwa ndugu walioko Uyahudi
"Kwa wakristo waliokuwa huko Yudea"
# kwa mkono wa Barnaba na Sauli.
"Chini ya usimamizi wa Barnaba na Sauli"