# Maelezo ya Jumla Sura hii wanaotajwa ni waumini wa kanisa huko Antiokia # Kwa hiyo Neno linaloelezea kuwa jambo lililotokea kwasababu ya kitu kingine pia # kila mmoja alivyo fanikiwa, atu matajiri walituma misaada zaidi, na wale masikini walituma kwa kiasi chao. # kwa ndugu walioko Uyahudi "Kwa wakristo waliokuwa huko Yudea" # kwa mkono wa Barnaba na Sauli. "Chini ya usimamizi wa Barnaba na Sauli"