sw_tn/act/10/01.md

29 lines
745 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ni mwanzo wa sehemu juu ya habari inayohusu Kornelio.
# Maelezo ya jumla
Mistari hii inatupa mrejesho wa taarifa kuhusu yeye.
# Kulikuwa na mtu fulani
Hii ilikuwa ni njia ya kutambulisha mtu mwingine katika habari.
# jina lake aliitwa Cornelio, alikuwa mkuu wa kikosi cha Kiitalia
"jina lake aliitwa Kornelio. alikuwa ni mtu mwenye cheo wa maaskari 100 kutoka Italia katika sehemu ya jeshi la Rumi"
# Alikuwa mcha Mungu na alimwabudu Mungu
"Aliamini katika Mungu na alitaka kumtii Mungu na kumwabudu Mungu katika maisha yake"
# na nyumba yake yote
"na watu wote wengine wa nyumbani kwake ambao pengine walikuwa wa mataifa walimcha Mungu"
# aliomba kwa Mungu siku zote.
Alikuwa akimwomba Mungu wakati wote.