sw_tn/act/07/38.md

29 lines
654 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Mstari wa 40 ni nukuu kutoka katika vitabu vya sheria vya Musa.
# Huyu ni miongoni mwa mtu ambaye alikuwa katika mkutano
"Huyu ni Musa mtu ambaye ni miongoni mwa Waisraeli.
# Huyu ni mtu ambaye Mungu aliongea naye maneno yaliyo hai na kutupa sisi
"Huyu ni mtu ambaye Mungu aliongea naye neno lililo hai kutupa sisi"
# Neno lililo hai
Maana sahihi ni 1) "ujumbe ambao uliopo" au 2) "maneno yaletayo uzima."
# Walimsukuma mbali nao
Mfano huu unaonyesha kukataliwa kwa Musa, "walimkataa yeye kama kiongozi wao"
# katika mioyo yao waligeukia Misri
"WAlikusudia kurejea tena Misri"
# Wakati huo
"Walipoamua kurudi Misri"