# Maelezo ya jumla Mstari wa 40 ni nukuu kutoka katika vitabu vya sheria vya Musa. # Huyu ni miongoni mwa mtu ambaye alikuwa katika mkutano "Huyu ni Musa mtu ambaye ni miongoni mwa Waisraeli. # Huyu ni mtu ambaye Mungu aliongea naye maneno yaliyo hai na kutupa sisi "Huyu ni mtu ambaye Mungu aliongea naye neno lililo hai kutupa sisi" # Neno lililo hai Maana sahihi ni 1) "ujumbe ambao uliopo" au 2) "maneno yaletayo uzima." # Walimsukuma mbali nao Mfano huu unaonyesha kukataliwa kwa Musa, "walimkataa yeye kama kiongozi wao" # katika mioyo yao waligeukia Misri "WAlikusudia kurejea tena Misri" # Wakati huo "Walipoamua kurudi Misri"