sw_tn/act/03/15.md

21 lines
381 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Neno "sisi" linawajumuisha Petro na Yohana.
# Mfalme wa uzima
Neno hili linamtaja Yesu "Ni mmoja awapaye watu uzima wa milele au "Mtawala wa maisha"
# Sasa
Neno hili lilitumika kuhamisha usikivu wa mkutano kwa yule kiwete
# kwa imani katika jina lake
Kiwakilishi "Jina" ni jina la Yesu.
# amempatia mtu huyu nguvu
"amemfanya mtu huyu nguvu ya kupona"