# Maelezo ya jumla Neno "sisi" linawajumuisha Petro na Yohana. # Mfalme wa uzima Neno hili linamtaja Yesu "Ni mmoja awapaye watu uzima wa milele au "Mtawala wa maisha" # Sasa Neno hili lilitumika kuhamisha usikivu wa mkutano kwa yule kiwete # kwa imani katika jina lake Kiwakilishi "Jina" ni jina la Yesu. # amempatia mtu huyu nguvu "amemfanya mtu huyu nguvu ya kupona"