sw_tn/act/02/46.md

21 lines
465 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# waliendelea wakiwa na lengo moja
Waumini waliendelea kukutana pamoja, kwa kusudi moja.
# walimega mkate kwenye nyumba zao
walishirikiana kula chakula chao katika nyumba zao na pia kula chakula cha Bwana kwa pamoja.
# kwa furaha na unyenyekevu wa moyo
Hii inamaana bila kiburi, kwa furaha, bila choyo na bila kuangalia cheo au upendeleo.
# wakiwa na kibali na watu wote
"Watu wote waliwakubali"
# ambao walikuwa wakiokolewa
Ambao Bwana alikuwa akiwaokoa