# waliendelea wakiwa na lengo moja Waumini waliendelea kukutana pamoja, kwa kusudi moja. # walimega mkate kwenye nyumba zao walishirikiana kula chakula chao katika nyumba zao na pia kula chakula cha Bwana kwa pamoja. # kwa furaha na unyenyekevu wa moyo Hii inamaana bila kiburi, kwa furaha, bila choyo na bila kuangalia cheo au upendeleo. # wakiwa na kibali na watu wote "Watu wote waliwakubali" # ambao walikuwa wakiokolewa Ambao Bwana alikuwa akiwaokoa