sw_tn/act/01/01.md

29 lines
758 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi.
Luka anaelezea ni kwasababu gani anamwandikia Theofilo
# Kitabu cha zamani nilikiandika
Kitabu cha zamani ni Injili ya Luka.
# Theofilo
Luka aliandika kitabu hiki kwa mtu anayeitwa Theofilo. Baadhi ya watafsiri hufuata mfumo wa tamaduni zao za kuelezea barua na huandika "Mpendwa Theofilo" mwanzoni mwa sentensi. Theofilo humaanisha "rafiki wa Mungu.
# Mpaka siku alipopokelewa juu
Hii inarejesha kwenye kupaa kwa Yesu mbinguni
# Amri kupitia kwa Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu alimwongoza Yesu kuwaelekeza mitume wake juu ya vitu fulani.
# Baada ya kuteswa kwake
Hii inahusu mateso ya Yesu na kifo chake msalabani.
# Alijidhihirisha Yeye mwenyewe akiwa hai
Yesu alionekana kwa mitume wake na kwa wanafunzi wengi wengine.