sw_tn/2th/02/08.md

29 lines
822 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ndipo mwenye kuasi atakapofunuliwa
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: Halafu Mungu atamruhusu mwenye kuasi ili kujionyesha mwenyewe.
# kwa pumzi ya kinywa chake
Hapa neno "pumzi" linamaanisha nguvu ya Mungu. AT: "kwa nguvu ya neno lake lilotamkwa"
# Ufunuo wa kuja kwake utamfanya kuwa sio chochote
Wakati Yesu atakaporudi duniani na kujionyesha, atamshinda yule mwenye kuasi.
# kwa nguvu zote, ishara, na maajabu ya uongo
"kwa nguvu zote, ishara, na maajabu ya uongo"
# na uongo wote wenye udharimu
Mtu huyu ataumia kila aina ya ubaya kuwadanganyawatu ili wamwamini yeye badala ya Mungu.
# Mambo haya yatakuwepo kwa wale wanaopotea
Huyu mtu atapewa nguvu na shetani na atadanganya kila mtu ambaye hakuamini katika Yesu.
# wanaopotea
Hapa "potea" lina wazo la milele au uangamivu wa milele