sw_tn/2pe/02/01.md

17 lines
537 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Manabi wa uongo walikuja kwa Israeil, na walimu a uongo watakuja kwenu
Kama ile manabii wa uongo walivyokuja wakiidanganya Isreli, vivyo hivyo walimu wa uongo watakuja wakidanganya uongo juu ya Kristo
# Ukengeufu
Haya ni maoni yaliyo kinyume na mafunisho ya Kristo na ya Mitume
# Bwana aliyewanunua
Yesu ndiye Bwana aliyelipa kwa ajili ya dhambi za watu wote kwa njia ya kifo chake, na kuzikwa kwake na ufufuo.
# nja za aibu
Neno "zao" linawakilisha manabii na walimu wa uongo" jinsi matendo yao yalivyo ya zinaa iliyokidhiri.