# Manabi wa uongo walikuja kwa Israeil, na walimu a uongo watakuja kwenu Kama ile manabii wa uongo walivyokuja wakiidanganya Isreli, vivyo hivyo walimu wa uongo watakuja wakidanganya uongo juu ya Kristo # Ukengeufu Haya ni maoni yaliyo kinyume na mafunisho ya Kristo na ya Mitume # Bwana aliyewanunua Yesu ndiye Bwana aliyelipa kwa ajili ya dhambi za watu wote kwa njia ya kifo chake, na kuzikwa kwake na ufufuo. # nja za aibu Neno "zao" linawakilisha manabii na walimu wa uongo" jinsi matendo yao yalivyo ya zinaa iliyokidhiri.