sw_tn/1ti/05/01.md

29 lines
755 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea kumuasa Timotheo awajali wanaume, wanamke, wajane na wanawake wazee ndani ya kanisa.
# Taarifa ya jumla:
Paulo alikua anatoa maagizo haya kwa mtu mmoja, Timotheo.
# Usimkemee mwanaume mzee.
"Usiongee kwa ukali kwa mzee wa kiume"
# Ila msihi kama baba
"Ila mtie moyo kama uongeavyo na baba yako," kwa adabu.
# Msihi kijana wa kiume kama ndugu
"Mtie moyo vijana wa kiume kama ndugu zako" au "wafundishe vijana wakiume kama ambavyo ungefundisha ndugu zako," kwa amani.
# Wanawake vijana kama dada
"wasihi wanawake vijana kama ambavyo unge wasihi dada zako" au "wafundishe wanawake vijana kama ambavyo ungewafundisha dada zako,"
# Kwa usafi wote
"kwa mawazo safi na matendo" au "katika hali ya utakatifu"