sw_tn/1ti/02/intro.md

23 lines
607 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Timotheo 02 Maelezo kwa ujumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Amani
Paulo anawasihi Wakristo kuwaombea kila mtu. Wanastahili kuwaombea viongozi ili Wakristo waishi kwa amani kwa njia ya kimungu na ya kiheshima
#### Wanawake katika kanisa
Watafsiri wawe makini zaidi ili watafsiri kikamilifi mistari hii.
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### "Sala" , "kuombeana" na "shukrani"
Maneno haya yanafanana katika maana yao. Siyo muhimu kuyatazama kama yanayohitilafiana.
## Links:
* __[1 Timothy 02:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__