# 1 Timotheo 02 Maelezo kwa ujumla ### Dhana muhimu katika sura hii #### Amani Paulo anawasihi Wakristo kuwaombea kila mtu. Wanastahili kuwaombea viongozi ili Wakristo waishi kwa amani kwa njia ya kimungu na ya kiheshima #### Wanawake katika kanisa Watafsiri wawe makini zaidi ili watafsiri kikamilifi mistari hii. ### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii #### "Sala" , "kuombeana" na "shukrani" Maneno haya yanafanana katika maana yao. Siyo muhimu kuyatazama kama yanayohitilafiana. ## Links: * __[1 Timothy 02:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__