sw_tn/1th/05/08.md

29 lines
620 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# maelezo ya jumla
katika mistari ya 8-10 "sisi" ya husu waamini wote
# wana wa mchana
Hii inawakilisha waumini katika Kristo. "waumini katika Kristo" au "watu wa mwanga."
# tuwe na kiasi
"tujizoeze katika kujizuia"
# kuvaa dirii ya
kama askari anavyo vaa dree kuulinda mwili wake, Mkiristo aliyeamini anayeishi kwa imani na upendo atapata ulinzi. "tujilinde wenyewe kwa"
# kofia ya chuma
kama kofia ya chuma inavyo mlinda askari kichwani, hivyo ndivyo uhakika wa waokovu inavyomlinda muumini. "na ujue"
# kwamba tumacho au tumelala
"kwamba tuko hai au tumekufa"
# kujengana ninyi kwa ninyi
"kufarijiana"