# maelezo ya jumla katika mistari ya 8-10 "sisi" ya husu waamini wote # wana wa mchana Hii inawakilisha waumini katika Kristo. "waumini katika Kristo" au "watu wa mwanga." # tuwe na kiasi "tujizoeze katika kujizuia" # kuvaa dirii ya kama askari anavyo vaa dree kuulinda mwili wake, Mkiristo aliyeamini anayeishi kwa imani na upendo atapata ulinzi. "tujilinde wenyewe kwa" # kofia ya chuma kama kofia ya chuma inavyo mlinda askari kichwani, hivyo ndivyo uhakika wa waokovu inavyomlinda muumini. "na ujue" # kwamba tumacho au tumelala "kwamba tuko hai au tumekufa" # kujengana ninyi kwa ninyi "kufarijiana"