sw_tn/1th/05/01.md

33 lines
694 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sentensi unganishi
Paulo anazidi kuongelea siku Yesu ata rudi
# muda na nyakati
"muda ambayo Bwana Yesu atarudu tena "
# Ndugu
Her "ndugu" inamaanisha Wakiristo wengine
# mwajua ya kuwa
"kufahamu kabisa" au "kuwa na ufahamu"
# kama mwizi ajapo usiku
kama vile ambavyo mtu hajui ni usiku gani mwivi atakuja kuvunja na kuiba, sisi hatujui siku ya Bwana itakuja lini. "bilakutazamia"
# Pale wasemapo
"Watu watakaposema"
# ndipo uharibifu
"ndipo uharibifu usiotegemewa"
# kama utungu umjiavyo mama mwenye mimba.
Kama vile mwanamke mjamzito maumivu ya kujifungua mtoto huja ghafla na wala haichi mpaka kuzaliwa itakapokamilika, ndivyo uharibifu huja na watu hawataweza kuepuka.