# sentensi unganishi Paulo anazidi kuongelea siku Yesu ata rudi # muda na nyakati "muda ambayo Bwana Yesu atarudu tena " # Ndugu Her "ndugu" inamaanisha Wakiristo wengine # mwajua ya kuwa "kufahamu kabisa" au "kuwa na ufahamu" # kama mwizi ajapo usiku kama vile ambavyo mtu hajui ni usiku gani mwivi atakuja kuvunja na kuiba, sisi hatujui siku ya Bwana itakuja lini. "bilakutazamia" # Pale wasemapo "Watu watakaposema" # ndipo uharibifu "ndipo uharibifu usiotegemewa" # kama utungu umjiavyo mama mwenye mimba. Kama vile mwanamke mjamzito maumivu ya kujifungua mtoto huja ghafla na wala haichi mpaka kuzaliwa itakapokamilika, ndivyo uharibifu huja na watu hawataweza kuepuka.