sw_tn/1th/01/08.md

37 lines
738 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Limeenea kote
"Limesambaa pote"
# Akaiya
Hii ilikuwa ni walaya katika kipindi cha nyuma, na kwa sasa inaitwa Ugiriki.
# Kila mahali.
"Sehemu nyingi na kila Mikoa"
# Kwa wao wenyewe.
Paulo anaelezea makanisa ambayo yaliwahi kuwapo katika Mikoa iliyokuwa karibu, waliokuwa wamesikia juu ya Waumini wa Thesalonike.
# Wao wenyewe.
Kwa hapa "wenyewe" limetumika kusisitiza wale watu waliokuwa wamesikia juu ya waumini wa Thesalonike.
# Namna gani ya mapokezi tuliyokuwa nayo pamoja nanyi.
"Kwa namna ya ukalimu mliyotukaribisha".
# Mwanae
Hii ni anwani mhimu ya Yesu inayoeleza mahusiano yake na Mungu.
# Aliemuinua.
"Ambaye Mungu alimuinua"
# Alietuokoa
Paulo anawahusisha waumini aliokuwa akiwaandikia kwenye neno "sisi"