# Limeenea kote "Limesambaa pote" # Akaiya Hii ilikuwa ni walaya katika kipindi cha nyuma, na kwa sasa inaitwa Ugiriki. # Kila mahali. "Sehemu nyingi na kila Mikoa" # Kwa wao wenyewe. Paulo anaelezea makanisa ambayo yaliwahi kuwapo katika Mikoa iliyokuwa karibu, waliokuwa wamesikia juu ya Waumini wa Thesalonike. # Wao wenyewe. Kwa hapa "wenyewe" limetumika kusisitiza wale watu waliokuwa wamesikia juu ya waumini wa Thesalonike. # Namna gani ya mapokezi tuliyokuwa nayo pamoja nanyi. "Kwa namna ya ukalimu mliyotukaribisha". # Mwanae Hii ni anwani mhimu ya Yesu inayoeleza mahusiano yake na Mungu. # Aliemuinua. "Ambaye Mungu alimuinua" # Alietuokoa Paulo anawahusisha waumini aliokuwa akiwaandikia kwenye neno "sisi"