sw_tn/1th/01/01.md

17 lines
408 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Paulo anajitambulisha kama mwandishi wa barua na analisalimu kanisa la Watheselonike.
# Paulo, Silivanus na Timotheo kwa kanisa.
Paulo ndiye mwandishi wa barua hii
# Neema na amani iwe kwenu
Neno "neema" na "amani" ni maumbo kwa mtu anayeishi na watu kwa ukarimu na amani. "Mungu awe mkarimu kwenu na awape amani"
# Amani iwe nanyi.
Neno "Nanyi" linaelezea waumini wa Thesalonike.