# Maelezo ya Jumla Paulo anajitambulisha kama mwandishi wa barua na analisalimu kanisa la Watheselonike. # Paulo, Silivanus na Timotheo kwa kanisa. Paulo ndiye mwandishi wa barua hii # Neema na amani iwe kwenu Neno "neema" na "amani" ni maumbo kwa mtu anayeishi na watu kwa ukarimu na amani. "Mungu awe mkarimu kwenu na awape amani" # Amani iwe nanyi. Neno "Nanyi" linaelezea waumini wa Thesalonike.