sw_tn/1jn/04/01.md

37 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yohana anatoa onyo dhidi ya walimu wa uongo ambao hufundisha kinyume cha Kristo kuwa na mwili wa kibinadamu na waalimu huongelea kama wale wanaopenda mazungumzo ya ulimwengu
# Wapendwa
"Nyinyi watu ninaowapenda" au "Rafiki wapendwa." Tazama linavyofafanuliwa 2:7
# msiiamini kila roho
Hapa, neno "roho" humaanisha uwezo au nguvu zakiroho au nafsi inayompa mtu ujumbe au unabii. "msimtumaini kila nabii anayedai kuwa anao ujumbe kutoka kwa roho"
# zijaribuni roho
Hapa, neno "roho" humaanisha uwezo au nguvu zakiroho au nafsi inayompa mtu ujumbe au unabii. : "hakikisheni kwamba mnasikiliza kwa makini kwa anayoyasema nabii"
# jaribu
"thibitisha"
# kila roho itakayokiri kuwa Yesu Kristo amekuja katika mwili
"amechukua umbo la mwili" au amekuja katika mwili unoonekana"
# Hii ni roho ya mpinga kristo
"wao ni walimu wanaliokinyume na Kristo" au "wao ni walimu wanaompinga Kristo"
# mpinga kristo, ambayo mliyoisikia kuwa inakuja
"mpingakristo. Mmekwisha kusikia kwamba watu kama hao wanakuja miongoni mwetu"
# inakuja, na sasa tayari iko duniani.
"wanakuja. Na hata sasa tayari wako hapa"