# Maelezo ya Jumla Yohana anatoa onyo dhidi ya walimu wa uongo ambao hufundisha kinyume cha Kristo kuwa na mwili wa kibinadamu na waalimu huongelea kama wale wanaopenda mazungumzo ya ulimwengu # Wapendwa "Nyinyi watu ninaowapenda" au "Rafiki wapendwa." Tazama linavyofafanuliwa 2:7 # msiiamini kila roho Hapa, neno "roho" humaanisha uwezo au nguvu zakiroho au nafsi inayompa mtu ujumbe au unabii. "msimtumaini kila nabii anayedai kuwa anao ujumbe kutoka kwa roho" # zijaribuni roho Hapa, neno "roho" humaanisha uwezo au nguvu zakiroho au nafsi inayompa mtu ujumbe au unabii. : "hakikisheni kwamba mnasikiliza kwa makini kwa anayoyasema nabii" # jaribu "thibitisha" # kila roho itakayokiri kuwa Yesu Kristo amekuja katika mwili "amechukua umbo la mwili" au amekuja katika mwili unoonekana" # Hii ni roho ya mpinga kristo "wao ni walimu wanaliokinyume na Kristo" au "wao ni walimu wanaompinga Kristo" # mpinga kristo, ambayo mliyoisikia kuwa inakuja "mpingakristo. Mmekwisha kusikia kwamba watu kama hao wanakuja miongoni mwetu" # inakuja, na sasa tayari iko duniani. "wanakuja. Na hata sasa tayari wako hapa"