sw_tn/1jn/03/07.md

33 lines
792 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Watoto wapendwa.
Watoto wanaopendwa/waumini wanaopatana naye.
# Msiruhusu mtu yeyote kuwapotosha.
"Msikubali mtu yeyote awafanye wajinga" au "msikubali mtu yeyote awadanganye."
# Atendaye haki ni mwenye haki, kama Kristo alivyo mwenye haki.
"Anayetenda kilicho sahihi anampendeza Mungu kama Kristo anavyompendeza Mungu."
# Hutenda dhambi.
"Huendelea kutenda dhambi"
# Ni ya Ibilisi.
"Humilikiwa na shetani au ni kama shetani"
# Kutoka mwanzo.
Hii inalenga hasa nyakati za uumbaji kabla ya binadamu hawajaanguka dhambini. "Tangu nyakati za mwanzo za uumbaji."
# Mwana wa Mungu alidhihirishwa.
Hii inaweza kutafsiriwa kwa fungu la maneno yanayoonesha kitendo: "Mungu alimudhihirisha Mwanawe."
# Mwana wa Mungu.
Hili ni jina mhimu kwa Yesu ambalo hufafanua uhusiano kwa Mungu.