sw_tn/1jn/02/01.md

37 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yohana anaendelea kuandika juu ya ushirika na anaonyesha kwamba inawezekana kwa sababu Yesu yuko kati ya waaminio na Baba.
# Maelezo ya Jumla
Hapa maneno "tunaye' na "zetu" humaanisha Yohana na waaminio wote. Neno "Yeye" na "zake" yaweza kumaanisha Mungu Baba au Yesu.
# Watoto
Yohana alikuwa mzee na kiongozi wao. Alitumia maelezo haya kuonyesha pendo lake kwao. : "Watoto wangu wapendwa katika Kristo" au "Ninyi mliowapendwa kwangu kama watoto wangu mwanyewe"
# ninawaandikia mambo haya
"Ninaandika barua hii"
# Lakini kama mmoja wenu akitenda dhambi
"Lakini mmoja wenu anapotenda dhambi." Hili ni jambo ambalo inawezekana likatokea"
# tunaye wakili aliye pamoja na Baba,
Neno "wakili" hapa humaanisha Yesu. : "mtu anayezungumza kwa Mungu Baba na kumsihi yeye apate kutusamehe sisi"
# eye ni upatanisho kwa dhambi zetu, na siyo kwa dhambi zetu
"Aliyatoa dhabifu maisha yake mwenyewe kwa ajili yetu, na kwa sababu ya hilo Mungu husamehe dhambi zetu"
# Kwa hili twajua kwamba , kama tukizishika amri zake.
"Kama tunafanya anayotuambia kufanya, kisha tutakua na uhakika kwamba tunao uhusiano na yeye"
# tunamjua yeye
"tunao uhusiano na yeye"