sw_tn/1co/15/56.md

13 lines
313 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Uchungu wa kifo ni dhambi
Ni kwasababu ya dhambi tutakabiliwa na kifo, hivyo tunakufa.
# nguvu ya dhambi ni sheria
Sheria ya Mungu iliyopitishwa na Musa inafafanua juu ya dhambi na inatuonyesha jinsi tunavyotenda dhambi dhidi ya Mungu.
# atupaye sisi ushindi
" amekwisha kushinda kifo kwa niaba yetu"