# Uchungu wa kifo ni dhambi Ni kwasababu ya dhambi tutakabiliwa na kifo, hivyo tunakufa. # nguvu ya dhambi ni sheria Sheria ya Mungu iliyopitishwa na Musa inafafanua juu ya dhambi na inatuonyesha jinsi tunavyotenda dhambi dhidi ya Mungu. # atupaye sisi ushindi " amekwisha kushinda kifo kwa niaba yetu"