sw_tn/1co/14/24.md

9 lines
315 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# atashawishiwa na yote asikiayo. Atahukumiwa na yote yasemwayo
Paulo anasema jambo moja mara mbili ili kuweka mkazo. kwa maneno mengine anasema atatambua kuwa anahatia ya dhambi kwa kuwa amesikia mnachosema"
# Siri za moyo wake zingefunuliwa
kwa muundo tendaji ni kusema "Mungu angemfunulia siri za moyo wake"