# atashawishiwa na yote asikiayo. Atahukumiwa na yote yasemwayo Paulo anasema jambo moja mara mbili ili kuweka mkazo. kwa maneno mengine anasema atatambua kuwa anahatia ya dhambi kwa kuwa amesikia mnachosema" # Siri za moyo wake zingefunuliwa kwa muundo tendaji ni kusema "Mungu angemfunulia siri za moyo wake"