sw_tn/1co/11/01.md

29 lines
733 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganisha
Baada ya Paulo kuwakumbusha Wakorintho kumfuata yeye kama navyomfuata Kristo, Paulo anatoa maagizo mahususi jinsi wanawake na wanaume wanavyopaswa kuishi kama waumini
# mnavyonikumbuka
"fikiri juu ya" au " kumbuka"
# nataka
inaweza kumaanisha 1) "Kwa sababu ya hili, ninataka" au 2) "Hata hivyo, ninataka."
# ni kichwa cha
anamamlaka juu ya
# naye mwanaume ni kichwa cha mwanamke
inaweza kumaanisha 1) " wanaume wanamamlaka kwa wanawake" au 2) mume anapaswa kuwa na mamlaka kwa mke"
# akiwa amefunika kichwa
" anapofunika au kuweke kitambaa kwenye kichwa chake"
# anakiabisha kichwa chake
inaweza kumaanisha 1) " hujitia aibu mwenyewe" au 2) huleta aibu kwa Krito, ambaye ni kichwa cha mwanaume."