# Sentensi Unganisha Baada ya Paulo kuwakumbusha Wakorintho kumfuata yeye kama navyomfuata Kristo, Paulo anatoa maagizo mahususi jinsi wanawake na wanaume wanavyopaswa kuishi kama waumini # mnavyonikumbuka "fikiri juu ya" au " kumbuka" # nataka inaweza kumaanisha 1) "Kwa sababu ya hili, ninataka" au 2) "Hata hivyo, ninataka." # ni kichwa cha anamamlaka juu ya # naye mwanaume ni kichwa cha mwanamke inaweza kumaanisha 1) " wanaume wanamamlaka kwa wanawake" au 2) mume anapaswa kuwa na mamlaka kwa mke" # akiwa amefunika kichwa " anapofunika au kuweke kitambaa kwenye kichwa chake" # anakiabisha kichwa chake inaweza kumaanisha 1) " hujitia aibu mwenyewe" au 2) huleta aibu kwa Krito, ambaye ni kichwa cha mwanaume."