sw_tn/1co/10/14.md

33 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anaendelea kuwakumbusha Wakorintho kuwa wasafi na kujitenga ibada ya sanamu na uchafu, wanapokuwa katika ushirika ambao unawakilisha damu na mwili wa Kristo.
# ikimbieni ibada ya sanamu
Paulo anazungumzia tendo la kuabudu sanamu ni kama mnyama hatari " fanyeni kila namna ili kukaa mbali na ibada ya kuabudu sanamu"
# kikombe cha baraka
Paulo anatumia maelezo haya kufafanua kikombe kilichowekewa divai ambayo ilitumiwa katika meza ya Bwana.
# Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?
" tunamshukuru Mungu kwa ajili ya kikombe"
# si ushirika wa damu ya Kristo?
Kikombe cha divai ambacho tunashiriki kinatuunganisha kushiriki katika damu ya Kristo. kwa maneno mengine "tunashiriki katika damu ya Kristo."
# Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?
" tunashiriki katika mwili wa Kristo tunaposhiriki mkate"
# ushirika wa
"kushiriki katika" au " kushiriki katika hali ya usawa pamoja na wengine"
# mkate mmoja
kipande kimoja cha mkate uliookwa na kugawanywa au kukatwa katika vipande vidogo vidogo kabla ya kuliwa.