# Sentensi Unganishi Paulo anaendelea kuwakumbusha Wakorintho kuwa wasafi na kujitenga ibada ya sanamu na uchafu, wanapokuwa katika ushirika ambao unawakilisha damu na mwili wa Kristo. # ikimbieni ibada ya sanamu Paulo anazungumzia tendo la kuabudu sanamu ni kama mnyama hatari " fanyeni kila namna ili kukaa mbali na ibada ya kuabudu sanamu" # kikombe cha baraka Paulo anatumia maelezo haya kufafanua kikombe kilichowekewa divai ambayo ilitumiwa katika meza ya Bwana. # Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? " tunamshukuru Mungu kwa ajili ya kikombe" # si ushirika wa damu ya Kristo? Kikombe cha divai ambacho tunashiriki kinatuunganisha kushiriki katika damu ya Kristo. kwa maneno mengine "tunashiriki katika damu ya Kristo." # Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? " tunashiriki katika mwili wa Kristo tunaposhiriki mkate" # ushirika wa "kushiriki katika" au " kushiriki katika hali ya usawa pamoja na wengine" # mkate mmoja kipande kimoja cha mkate uliookwa na kugawanywa au kukatwa katika vipande vidogo vidogo kabla ya kuliwa.