sw_tn/1co/05/03.md

29 lines
591 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ...nipo nanyi kiroho
"... kila wakati nafikiri juu yenu."
# nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi
"Nimekwisha ona huyu mtu ana hatia"
# Mnapokutanika pamoja
"kutana"
# katika jina la Bwana Yesu
lugha ya kuelezea tendo la kukusanyika pamoja kumwabudu Yesu Kristo
# Nimekwisha
" tayari nimemhukumu mtu huyo"
# kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani
Hii inaonyesha kumfukuza mtu kutoka kwa watu wa Mungu,ili aishi katika utawala wa Shetani, ulimwengu nje ya Kanisa.
# ili kwamba mwili wake uharibiwe
ili kwamba mwili wa mtu huyo upate maradhi kwa kurudiwa na Mungu kwa dhambi yake