# ...nipo nanyi kiroho "... kila wakati nafikiri juu yenu." # nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi "Nimekwisha ona huyu mtu ana hatia" # Mnapokutanika pamoja "kutana" # katika jina la Bwana Yesu lugha ya kuelezea tendo la kukusanyika pamoja kumwabudu Yesu Kristo # Nimekwisha " tayari nimemhukumu mtu huyo" # kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani Hii inaonyesha kumfukuza mtu kutoka kwa watu wa Mungu,ili aishi katika utawala wa Shetani, ulimwengu nje ya Kanisa. # ili kwamba mwili wake uharibiwe ili kwamba mwili wa mtu huyo upate maradhi kwa kurudiwa na Mungu kwa dhambi yake