sw_tn/tit/03/03.md

32 lines
735 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa kuwa
"kwa sababu"
# mwanzo
"zamani" au "kwa wakati fulani" au "awali"
# mawazo potofu
"ujinga" au "kutokuwa na hekima"
# potoshwa na kumikishwa kwa tamaa nyingi na starehe
Paulo anaongelea juu ya tamaa za dhambi kana kwamba ni watu wanaotupotosha kutoka katika njia ya kweli "tumepotoshwa"
# tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe
Paulo anazizungumzia tamaa zetu mbaya za mwanzo na kuzifananisha na mabwana zetu waliotutumikisha.
# shauku
"tamaa" au "hamu"
# tuliishi katika uovu na wivu
"uovu na "wivu " ni maneno haya yako sawa kimaana, yaote yanamaanisha "dhambi." "Siku zote tulifanya mambo maovu na kutaka vitu vya watu wengine."
# Tulichukiza
"tuliwafanya au tuliwasababisha wengine watuchukie"