# kwa kuwa "kwa sababu" # mwanzo "zamani" au "kwa wakati fulani" au "awali" # mawazo potofu "ujinga" au "kutokuwa na hekima" # potoshwa na kumikishwa kwa tamaa nyingi na starehe Paulo anaongelea juu ya tamaa za dhambi kana kwamba ni watu wanaotupotosha kutoka katika njia ya kweli "tumepotoshwa" # tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe Paulo anazizungumzia tamaa zetu mbaya za mwanzo na kuzifananisha na mabwana zetu waliotutumikisha. # shauku "tamaa" au "hamu" # tuliishi katika uovu na wivu "uovu na "wivu " ni maneno haya yako sawa kimaana, yaote yanamaanisha "dhambi." "Siku zote tulifanya mambo maovu na kutaka vitu vya watu wengine." # Tulichukiza "tuliwafanya au tuliwasababisha wengine watuchukie"