sw_tn/tit/02/11.md

32 lines
898 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Paulo anamtia moyo Tito kuutarajia ujio wa Yesu na kukumbuka mamlaka yake kupitia kwa Yesu.
# neema ya Mungu imeonekana.....Inatufundisha
Paulo anaiongelea neema ya Mungu kama ni Mtu anayeenda kwa watu wengine na kuwafundisha jinsi ya kuishi maisha matakatifu.
# inatufundisha kukataa mambo yasiyo ya kimungu na tamaa za kidunia
Inatufundisha tusimwasi Mungu
# tamaa za kidunia
"Hizi ni tamaa kali kwa ajili ya vitu vya dunia hii" au "tamaa kwa ajili anasa"
# katika wakati huu
"wakati bado tunaishi katika dunia hii" au " "muda huu"
# tunatarajia kupokea
"Tunasubiri kupokea"
# tumaini letu lenye baraka,
Paulo anamaanisha kwamba Mungu atakuja kwetu ambaye ndani yake tumeweka tumaini letu .
# mwonekano wa utukufu wa Mungu wetu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Paulo anaongelea juu ya utukufu wa Mungu kumaanisha kwamba Mungu mwenyewe atajidhihirisha.