sw_tn/tit/01/15.md

24 lines
614 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa wale walio safi, vyote ni safi.
Kila kitu ni safi kwa yule aliye safi ndani yake. " kila kitu anachofanya kitakuwa safi"
# kwa wale walio safi
kwa wale walimpokea Mungu
# Kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, hakunakilicho safi
Paulo anaongelea watu wenye dhambi kana kwamba ni wachafu kimwili. "Yeyote aliiye najisi kimaadili na ambaye haamini hawezi kuwa safi."
# wanamkana kwa matendo yao
"matendo yao yanaonesha kuwa hawamjui"
# waovu (wanachukiza)
mbaya, ya kutia kinyaa au isiyofaa
# Hawakuthibitishwa kwa tendo lolote jema
"hakuna mtu yeyote anayewatarajia kufanya kitu chochote kizuri"