# Kwa wale walio safi, vyote ni safi. Kila kitu ni safi kwa yule aliye safi ndani yake. " kila kitu anachofanya kitakuwa safi" # kwa wale walio safi kwa wale walimpokea Mungu # Kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, hakunakilicho safi Paulo anaongelea watu wenye dhambi kana kwamba ni wachafu kimwili. "Yeyote aliiye najisi kimaadili na ambaye haamini hawezi kuwa safi." # wanamkana kwa matendo yao "matendo yao yanaonesha kuwa hawamjui" # waovu (wanachukiza) mbaya, ya kutia kinyaa au isiyofaa # Hawakuthibitishwa kwa tendo lolote jema "hakuna mtu yeyote anayewatarajia kufanya kitu chochote kizuri"